• Ni uwanja wa Ndege wa Kisasa na bora zaidi kwa Afrika Mashariki na Kati
• Jina lake litabaki lile lile Uwanja waNdege wa Kimataifa (Julius Nyerere Julius Nyerere International Airport)
• Huduma kwa wasafiri kuongezeka kwa 400% ambapo itakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni 6 kwa mwaka kutoka abiria milioni 1.5 wanaohudumiwa na kiwanja kilichopo sasa.
• Kukamilika Mei 2019