Reli ya Kisasa ya Umeme Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI

BENKI YA STANDARD CHATERED YAIKOPESHA TANZANIA SH. TRILIONI 3.3 KUJENGA RELI YA KISASA – SGR

2-01
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa tatu kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chattered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani (wa tatu kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali waliohusika na kutoa mkopo huo pamoja na utekelezaji wa Ujenzi wa Mradi wa Reli kwa kiwango cha Kimataifa (SGR), wakiwemo Balozi wa Denmark nchini Tanzania Mhe. Mette Norgaard Dissing-Spandet (wa pili kushoto) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Anders Sjoberg (wa nne kushoto) baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3 ambazo Benki hiyo imetoa kwa ajili ya ujenzi wa Reli hiyo. 
3-01
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chattered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani, wakitia saini makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3, zilizotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida, hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam 13 Februari, 2020.
4-01
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa tatu kushoto)), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chattered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani (wa tatu kulia), wakitia saini Hati za Mkataba wa makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3 ambazo Benki hiyo imetoa kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida, hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam 13 Februari, 2020.
5-01
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chattered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani, wakibadilishana Hati za Mkataba wa makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3 ambazo Benki hiyo imetoa kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida, hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam 13 Februari, 2020.(Picha na Wizara ya Fedha na Mipango)
Matokeo ChanyA+
Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.
http://matokeochanya.co.tz

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.