Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Kassim Majaliwa Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu WIZARA YA ARIDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MPANGO KABAMBE WA JIJI LA DODOMA

1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mpango Kabambe wa jiji la Dodoma kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua Mpango Kabambe wa jiji la Dodoma kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 13, 2020. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai na kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama Mpango Kabambe wa jiji la Dodoma baada ya kuuzindua kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mzee Maarufu jijini Dodoma, Mohammed Makbel baada ya kuzindua Mpango Kabambe wa jiji la Dodoma kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 13, 2020. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Matokeo ChanyA+
Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.
http://matokeochanya.co.tz

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.