Afya BIMA YA AFYA Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE WANYUNYIZIA DAWA KUUA BAKTERIA

IMG_1315

  • Zoezi la kupulizia dawa aina ya chlorine yenye concentration ya 0.5 limefanyika leo kwenye Kiwanja cha Ndege cha Songwe, ambapo dawa  imenyunyiziwa kwenye jengo la abiria, Ofisi na maeneo ya nje ikiwa ni mojawapo ya mikakati ya kuua bakteria mbalimbali.
  • Songwe ni moja ya Viwanja vya Ndege vilivyoweka dawa maalum ya kutakasa mikono kwa yeyote anayeingia au kutoka nchini, pia kupima joto la mwili kwa kila abiria anayeingia ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayoambukizwa na virusi vya Corona (COVID 19)
Matokeo ChanyA+
Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.
http://matokeochanya.co.tz

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.