IKULU

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BI JAMIE COOPER

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bi. Jamie Cooper ambaye ni Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Big Win Philanthropy, Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 2 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Bi. Jamie Cooper …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA NJIA YA MTANDAO NA BW. BEN VAN BEURDEN AFISA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA ROYAL DUTCH SHELL

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 04 Oktoba, 2021 amezungumza kwa njia ya mtandao na Bw. Ben Van Beurden Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell yenye makao yake makuu  nchini Uholanzi. Bw. Van Beurden amemshukuru Mhe. Rais Samia na kueleza …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA MARA BAADA YA KUWASILI NAIROBI NCHINI KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Aprili, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Rais …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA MWENYEJI WAKE RAIS MUSEVENI WA UGANDA WASHUHUDIA UTIWAJI SAINI MRADI WA BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MMASHARIKI IKULU YA ENTEBBE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiweka saini kwenye kitabu cha ratiba ya hafla ya uwekwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki litalotoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga baada ya yeye na Rais Yoweri Museveni wa Uganda kuombwa na …

Soma zaidi »