MKOA WA MARA

HALMASHAURI ZATAKIWA KUWA NA OPERESHENI MAALUM YA UPIMAJI ARDHI

Na Munir Shemweta, WANMM TARIME Naibu Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameziagiza halmashauri nchini kufanya operesheni maalum ya kupima na kumilikisha ardhi ili kuwawezesha wananchi kuwa na hati miliki kwenye maeneo wanayoyamiliki. Dkt Mabula alitoa maagizo hayo jana kwa nyakati tofauti katika wilaya za …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MABULA AKERWA MSHAURI ELEKEZI KUKWAMISHA MRADI HOSPITALI YA RUFAA MARA

Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na hatua ya kusimamisha ujenzi wa miundombinu kwenye mradi wa kimkakati wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara iliyopo eneo la Kwangwa Manispaa ya Musoma mkoa wa Mara uliofanywa na Mshauri …

Soma zaidi »

RC MALIMA ATAKA WAKULIMA WAUZE KAHAWA YAO KWA BEI NZURI AUNGA MKONO WANUNUZI BINAFSI

Uongozi wa Mkoa wa Mara umesisitiza kuendelea kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Rais Dkt John Magufuli kuhusu wanunuzi binafsi wakati akizungumza na wananchi wa Kyaka, Rwamisheye, Kemondo Muleba, Nyakabango na Kyamyorwa mkoani Kagera tarehe 11 Julai 2019. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe Adam Malima leo tarehe …

Soma zaidi »