UCHUMI

JITIHADA ZA TANZANIA KATIKA KUIMALISHA UWEKEZAJI WA NDANI NA USHIRIKI WA WATANZANIA KATIKA MIRADI YA MAENDELEO 

Ukuaji wa Uwekezaji kwa Miaka Mitatu    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesajili jumla ya miradi 504 kati ya Januari na Desemba 2023, yenye thamani ya Dola za Marekani 5.6 bilioni, ambayo ni sawa na takribani Shilingi za Tanzania Trilioni 10. Hii ni ongezeko kubwa ikilinganishwa na miaka miwili iliyopita, ambapo …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AKIPOKEA RIPOTI YA (CAG) NA TAARIFA YA UTENDAJI KAZI WA (TAKUKURU) KWA MWAKA 2022/2023

“Ripoti hizi zilizotolewa hapa zinasaidia katika maboresho ya serikali kwa watumishi wa umma kwasababu ripoti zilizotolewa hapa tutakwenda kuangalia kwenye dosari na kufanya marekebisho na mwakani pengine hizi hazitajirudia na tutakuwa tumesogea. Tunawashukuru sana CAG na TAKUKURU kwakuwa kazi hii inaimarisha utendaji ndani ya mashirika ya umma na kupunguza hasara…itafika …

Soma zaidi »

NDEGE MPYA AINA YA BOENG 737 MAX 9, KUONGEZA UFANISI KATIKA SEKTA YA USAFIRISHAJI WA ANGA- TANZANIA

Uwezo wa Abiria Boeing 737 MAX 9 ina uwezo wa kubeba abiria kati ya 178 hadi 220, ingawa idadi halisi inaweza kutofautiana kulingana na usanidi wa ndege. Ufanisi wa Mafuta Moja ya sifa kuu za Boeing 737 MAX 9 ni ufanisi wake wa mafuta. Ndege hii hutumia teknolojia ya hali …

Soma zaidi »

TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA MAENDELEO; KUONGEZA UWEKEZAJI WA GESI, KUVUTIA BILIONI 1 ZA UWEKEZAJI, NA USHIRIKIANO NA INDONESIA.

Kuongeza Uwekezaji wa TPDC kwenye Kitalu cha Gesi Mnazi Bay Hatua ya kuongeza hisa za TPDC kwenye kitalu cha gesi Mnazi Bay ina lengo la kuimarisha udhibiti wa nchi katika rasilimali za gesi. Kuwa na umiliki mkubwa zaidi kunaweza kuongeza faida kwa Tanzania na kuhakikisha uwiano mzuri wa manufaa kati …

Soma zaidi »

TRA Imekusanya Tsh. Trilioni 3.05 mwezi Desemba 2023.

TRA ilikusanya Trilioni 3.05 mwezi Desemba 2023, ukusanyaji wa juu zaidi kwa mwezi katika historia. Ilipita lengo lake kwa asilimia 102.9%. Mwelekeo wa Ukusanyaji wa Mapato kwa miezi 6 iliyopita. Julai – Trilioni 1.9 ,Agosti – Trilioni 2 ,Septemba – Trilioni 2.6 , Oktoba – Trilioni 2.148 ,Novemba – Trilioni 2.143 ,Desemba – Trilioni 3.049. Wajibu …

Soma zaidi »