MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA

Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku.

Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo zaidi ya kilomita 30 katika awamu ya kwanza ya ujenzi wa reli hiyo kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro zitakuwa zimetandikwa mataluma na kufungwa reli.

Ad

#SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye kupata Matokeo ChanyA+ 110% katika kujenga uchumi imara na madhubuti kwa Taifa zima.

#MATAGA 💪🏿💪🏿👇🏽

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Rais  Dkt. John  Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *