MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MFUMO MPYA WA KIDIGITALI WA USAJILI YAKAMILIKA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein atazindua mfumo mpya wa kidigitali wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar September 4,2018 huko Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia saa nne asubuhi.

Tazama picha za ofisi mpya za Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii za Wilaya ya Kati.

Ad

img_3032

img_3041

img_3033

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA DAR ES SALAAM ZOO, AVUTIWA NA WANYAMA WENGI WANAOFUGWA HUMO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *