RAIS MAGUFULI KUSHUDIA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA UJENZI WA MELI

Mhe. Rais Dkt John Magufuli leo Septemba 03, 2018 atashuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa meli mpya na chelezo katika Ziwa Victoria, tukio hili linafanyika Jiji Mwanza. Na litarushwa moja kwa moja na TBC1, Azam Tv, ikulu.go.tz na millarday.com

Ad

Unaweza kuangalia pia

SISI TUNAWEZA KUJIFUNZA KUTOKA KWA MARAFIKI WEMA.

Nchi za Nordic zina jumla ya watu milioni 27 tu, huku Pato lao kwa mwaka …

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.