SERIKALI YA AWAMU YA TANO; Miaka mitatu madarakani

• Imejenga hostel bora na za bei nafuu zinazonufaisha wanafunzi zaidi ya 4,000 katika Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM)

” Kabla ya hostel hivi kujengwa, ilikuwa wanafunzi wanapanga vyumba mitaani.. Pia wengine wanapata vyumba ambavyo viko mbali na chuo ambapo pia inawawia vigumu kwenye usafiri ifikapo asubuhi.. ile kuhangaika kupanga madalala huko. Ila sasa hivi hapa.., hizi hostel zipo karibu tu na hiki chuo (UDSM) ambapo inakuwa rahisi kwa wao kufika chuoni kwa muda muafaka.” – Albert Kamili, Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

Ad

#SisiNiTanzaniaMpyA+

#MATAGA (tazama video hii)

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *