“Makao makuu (TAKUKURU) TOKA toka mwezi wa 4 hadi wa 9, Hawajashughulika! Ninaona mkurugenzi Mkuu akae pembeni, Akafanye kazi nyingine.’ – RAIS MAGUFULI

“Mtu amenunua Musoma Hotel hashughuliki.. Kila kandarasi hamalizi.. Waziri Mkuu akapita hapa.. Mara. Akitoa maagizo kwenye chombo cha PCCB.. – TAKUKURU shughulikia hili. Mkuu wa TAKUKURU wa mkoa wa Mara akalishughulikia.

Akalimaliza mwezi wa nne (Aprili 2018)! Akalipeleka Makao Makuu (Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini – TAKUKURU) Ameweka recommendation (mapendekezo) zake zote.. Makao Makuu tangu mwezi wa nne mpaka leo mwezi wa tisa, (Septemba 2018) hawajashughulikia! Nikaona Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU akae pembeni. Akafanye kazi nyingine. Nikafanya hivyo! Nikaangalia na madhambi dhambi mengine, yakajitokeza; Nikasema, kazi hii ya kushughulikia rushwa haiwezi..” – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli

Ad

07/09/2018

Tarime, Mara

maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye uhitaji wa Matokeo ChanyA+ 110% katika kuondoa, kupambana na kuzuia rushwa katika kila Taifa letu ili kujenga uchumi safi, imara na madhubuti kwa Watanzania wote

#MATAGA

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *