Fuatilia kwa kubofya link hii
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: September 8, 2018
SIMIYU: Mhe. Rais Magufuli amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Anthony Mtaka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 08 Septemba, 2018 ameendelea na ziara yake katika Kanda ya Ziwa ambapo ameweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Lamadi na kufungua barabara za Mji wa Lamadi katika Wilaya ya Busega, amefungua jengo la …
Soma zaidi »AFYA: Waziri Ummy Mwalimu aingia kwenye mtego wa Rais Magufuli.
Waziri Ummy Mwalimu aingia kwenye mtego wa Rais Magufuli. “Amejiweka kwenye mtego wangu…kwa sababu fedha zipo…wakandarasi wapo na wagonjwa wapo…,” – Rais Magufuli.
Soma zaidi »YANGA: Mashabiki wachangia zaidi ya Mil 20 kwa kipindi cha mwezi mmoja
Baada ya kuwepo kwa taarifa za kufungiwa na FIFA kwa kiungo wa Yanga Mohamed Issa Banka, kwenye kipindi hiki uongozi wa klabu hiyo kwa mara ya kwanza umetoa kauli. Kwenye kipindi hiki, uongozi wa klabu ya Yanga umeanza kwa kutoa taarifa kuhusu michango iliyokwishatolewa hadi sasa kupitia kampeni maalam ya …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI UNA SIFA KUU 5 AMBAZO HAKUNA KIONGOZI AFRIKA ANAZO – Mpina
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhanga Joelson Mpina amesema Rais Magufuli ni Rais pekee Barani Afrika na mwenye sifa muhimu tano ambazo hakuna kiongozi barani humu anazo. “Mheshimiwa Rais, mimi nataka niseme ya moyoni.. na kwa sababu niko hapa Simiyu leo; kwamba wewe umevunja rekodi katika dunia hii na …
Soma zaidi »Waliotorosha mashine za kiwanda cha almasi Iringa waanza kusakwa
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi ametoa siku 30 kwa watu wanaohusika na utoroshwaji wa mashine zilizokuwa katika kiwanda cha almasi cha mjini mafinga na kutaifishwa kujisalimisha ofisini kwake kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa
Soma zaidi »HABARI ITV LIVE: Serikali yaahidi kusambaza maji miji yote ya inayolizunguka Ziwa Victoria.
Kiwanda: Mzee Mbanga amesema “kukutana na Waziri kumenipa nguvu ya kufungua kiwanda changu”
Mtanzania aliyeunda BAJAJI, Mzee Andrew Mbanga amesema anatarajia kufungua kiwanda cha kutengeneza chombo hicho kwa sababu amepata nguvu baada ya kukutana na Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji Charles Mwijage. Mzee Mbanga amesema kukutana na Waziri kumempa nguvu ya kufungua kiwanda chake ambapo awali alishindwa kwa sababu BAJAJI aliyounda ilikosa …
Soma zaidi »ATCL kwenda Entebbe siku 4 kila wiki
• Ni kila siku ya Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumapili • Safari za Bujumbura – Burundi ni kila siku ya Jumanne, Alhamisi na Jumamosi #MATAGA Bofya link hii hapa chini kwa taarifa zaidi Habari ya mjini ndio hii! Fanya booking yako mapema kupata punguzo la bei.#Entebbe#Bujumbura#EndeleaKupasuaAnga pic.twitter.com/SzEm1mGQWF — Air Tanzania …
Soma zaidi »Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Simiyu yakamilika
Sehemu ya jengo la wagonjwa wa nje (OPD)la hospitali ya rufaa ya mkoa wa Simiyu lililofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Bariadi Mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.
Soma zaidi »