Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi ametoa siku 30 kwa watu wanaohusika na utoroshwaji wa mashine zilizokuwa katika kiwanda cha almasi cha mjini mafinga na kutaifishwa kujisalimisha ofisini kwake kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa
Ad

Tags Mhe. Ally Hapi Uchumi Wakuu wa Mikoa