IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi Atilia shaka Jengo la Milioni 55

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi akiwa katika ziara ya kutembelea Mkoa wake Katika ziara hii atatembelea tarafa zote 15 za Mkoa wa Iringa, kusafiri kilomita 2611, kufanya mikutano mikubwa 15 ya kusikiliza kero za waanchi tarafa kwa tarafa na kukagua miradi yenye thamani ya bilioni 78.1.

“Nimekataa kuweka jiwe la msingi jengo la clinic kijiji cha Makunga baada ya taarifa ya gharama ya mradi (mil 360) kutokua na uwiano na jengo lenyewe.Nimeagiza uchunguzi kufanyika.” Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Happy

Ad

Ikumbukwe kwamba Juni 10, 2018  Kiongozi wa mbio za mwenge Charles Francis aligomea rasmi kuzindua jengo la zahanati ya mkoroshini iliopo msasani kutokana na kutokidhi viwango vya ujenzi vya jengo hilo.

Hata hivyo jengo hilo kuwa na gharama za juu kwenye ujenzi wa jengo hilo ambapo takukuru walitakiwa kufuatilia swala hilo kwa undani ili kuweza kubaini yaliyomo ndani ya ujenzi huo na gharama ya Milioni 400.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AFANYA KIKAO CHA KAZI NA RC, RAS, DC, DAS NA DED WOTE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Magufuli amewataka Wakuu wa Mikoa, Makatibu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *