Maktaba ya Kila Siku: September 12, 2018

UGAWAJI MIL.50 KILA KIJIJI UNAKUJA; LAKINI KWA SASA, BADO – MAMA SAMIA

Awaasa wananchi kuwa makini na matapeli wanaochangisha pesa wakidai watawaiginza katika mgao wa fedha hizo. Asema wapo wanatumia jina la Ofisi yake kuwalaghai wananchi Asema pesa hizo zitakuja lakini kwa sasa serikali inashughulikia mambo ya huduma za jamii kwanza.

Soma zaidi »

DODOMA: Ujenzi wa stendi kubwa, MpyA ya Dodoma waanza.

• Ujenzi unagharimu Tsh. Bilioni 35.4 • Ujenzi unatarajiwa kuchukua miezi 15 • Stendi hiyo itakabidhiwa kwa serikali tayari kwa matumizi mwezi Septemba 2019 Bilioni 77 za Mradi wa Tscp zatekeleza Agizo Rais JPM Jijini Dodoma. Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI. Mradi wa Mpango Miji Mkakati ‘Tanzania Strategic Cities Project’ maarufu kama …

Soma zaidi »