LOLIONDO: Ujenzi wa Barabara ya Loliondo – Mto wa Mbu UMESHIKA KASI #TupoVizuri.

  • Ni barabara inayotoka Ngorongoro, Loliondo itapita Wasso hadi Mugumu mpaka Mto wa Mbu

  • Itakuwa na urefu wa kilomita 218

  • Inanajengwa kwa kiwango cha lami
  • Itapita katika mikoa minne; Mara, Manyara, Arusha na Mwanza

  • Ujenzi utakuwa wa kasi utakaofanyika kwa awamu mbali mbali ambapo awamu ya kwanza itaanzia kijiji cha Waso hadi Sale na itakuwa na urefu wa km 49

Ad

Unaweza kuangalia pia

ALPHONCE SIMBU ASHINDA MEDALI YA FEDHA KATIKA MBIO ZA KM 42, MBIO NDEFU YA MAJESHI YA DUNIA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *