Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kwa kutambua umuhimu wa sekta ya utalii kwa uchumi wa nchi yetu, na kwamba ili kuweza kupata watalii wengi zaidi lazima kuwa na usafiri wa anga ulio na uhakika; ndiyo maana Serikali imeamua kufufua shirika letu …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: September 15, 2018
Eng. Patrick MFUGALE aongelea kuanza kutumika Kwa Flyover kabla ya uzinduzi.
Barabara za juu katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam nchini Tanzania zimeanza kutumika hii leo kwa majaribio ambapo uzinduzi rasmi utafanyika baada ya tarehe rasmi kupangwa. Akizungumza mara baada ya kufanyika kwa uzinduzi huo wa majaribio injinia Patrick Mfugale ambaye barabara hizo zimepewa jina lake Mfugale Fylover amesema …
Soma zaidi »MAGARI YARUHUSIWA RASMI KUTUMIA FYLOVER YA TAZARA
Daladala na magari mengine kutoka Posta kuelekea Airport yapita upande wake bila kusimama na hata yale yanayotoka Airport kuelekea Posta nayo yanapita bila kusubiri kuongozwa na taa. Magari yanayotumia barabara ya Mandela ndiyo pekee yanaongozwa na taa za kisasa zilizofungwa katika kuta nzito za sehemu ya katikati ya flyover hiyo. …
Soma zaidi »KIGOMA INAJENGWA UPYA
Barabara za mji wa Kigoma zajengwa upya kwa kiwango cha lami. Barabara ya Lusimbi inayotokea mtaa wa Shaurimoyo Mwanga kupitia barabara kuu ya Lumumba,Legezamwendo,Mabatini na inakuja kutokea Pefa Ujenzi jirani kabisa na Kanisa la Efatha Ministry ambayo inakutana na Kasulu Road Pia barabara Mji mwema ikianzia maeneo ya Bima Kigoma …
Soma zaidi »LIVE: Kutoka Dodoma; Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Tamasha la Urithi
• Ni katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Fuatilia kwa kubofya link Hii
Soma zaidi »