Maktaba ya Kila Siku: September 15, 2018

Eng. Patrick MFUGALE aongelea kuanza kutumika Kwa Flyover kabla ya uzinduzi.

Barabara za juu katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam nchini Tanzania  zimeanza kutumika hii leo kwa majaribio ambapo uzinduzi rasmi utafanyika baada ya tarehe rasmi kupangwa. Akizungumza mara baada ya kufanyika kwa uzinduzi huo wa majaribio injinia Patrick Mfugale ambaye barabara hizo zimepewa jina lake Mfugale Fylover amesema …

Soma zaidi »

MAGARI YARUHUSIWA RASMI KUTUMIA FYLOVER YA TAZARA

Daladala na magari mengine kutoka Posta kuelekea Airport yapita upande wake bila kusimama na hata yale yanayotoka Airport kuelekea Posta nayo yanapita bila kusubiri kuongozwa na taa. Magari yanayotumia barabara ya Mandela ndiyo pekee yanaongozwa na taa za kisasa zilizofungwa katika kuta nzito za sehemu ya katikati ya flyover hiyo. …

Soma zaidi »