- Barabara za mji wa Kigoma zajengwa upya kwa kiwango cha lami.
- Barabara ya Lusimbi inayotokea mtaa wa Shaurimoyo Mwanga kupitia barabara kuu ya Lumumba,Legezamwendo,Mabatini na inakuja kutokea Pefa Ujenzi jirani kabisa na Kanisa la Efatha Ministry ambayo inakutana na Kasulu Road
- Pia barabara Mji mwema ikianzia maeneo ya Bima Kigoma Mjini kupitia Website kwenda mpaka Bangwe jirani na Power Station ya Tanesco
- Gungu kupitia Mwasenga Area kuja kutokea Katubuka Manguruweni
Tazama video hii wakati ujenzi unaendelea
Ad