#TupoVizuri; Utandikaji Reli SGR Waanza Rasmi!

• Kwa siku chache zijazo km 55 zitakuwa tayari zimekamilika kutandikwa reli ya kisasa – SGR.

• Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi Eng. Isack Kamwele azindua zoezi hilo rasmi.

Ad

• Kasi ya ujenzi yawa kubwa huku ari ya utendaji wa wafanyakazi ikingezeka maradufu.

hakika maendeleo yanaonekana…

maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye kupata Matokeo ChanyA+ 110% katika kujenga na kukuza uchumi imara na madhubuti kwa Watanzania wote.

#MATAGA

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI SADC, BALOZI WA EU NA BALOZI WA CHINA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Februari, 2020 amekutana na Katibu Mtendaji wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *