MV Nyerere: Mazishi ya baadhi ya waliofariki yafanyika

Katika kipindi hiki serikali italeta kivuko cha muda ili wananchi kutumia kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa leo na waziri mkuu Kassim Majaliwa wakati akiongoza mazishi.

Waziri mkuu amesema ni msiba mkubwa ulioipata nchi.

Ad

Ibada ya mazishi imeambatana na dua kutoka kwa viongozi wa dini ya Kiislamu na Kikristo.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AKIKAGUA GWARIDE KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KULA KIAPO NOVEMBA 05, 2015.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.