Maktaba ya Kila Siku: September 27, 2018

ENG. MFUGALE NI MFANO WA KUIGWA KWA UTUMISHI ULIOTUKUKA TANZANIA!

Kufuatia uamuzi wa Mhe. Rais Magufuli kuwa Flyover ya makutano ya barabara ya Nyerere na Mandela iitwe Mfugale Flyover, Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Mhandisi Prof. Ninatubu Lema amesoma wasifu wa Mhandisi Patrick Aron Lipilima Mfugale na kueleza kuwa ameitumikia nchi akiwa Mhandisi kwa miaka 41 ambapo katika …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI:NITABADILISHA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Rais Dkt John Magufuli, amezindua flyover ya MFUGALE hii leo katika makutano Tazara jijini Dar Es Salaam. Rais Magufuli amesema kuwa flyover hiyo imepewa jina hilo kutokana na kazi nyingi alizofanya Injinia Patrick Mfugale, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini(TANROADS),kwa uaminifu mkubwa na kwa kutanguliza utanzania badala …

Soma zaidi »