LEO TAREHE 27 SEPTEMBA, 2018 AMEZINDUA DARAJA LA JUU LA MFUGALE TAZARA JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS MAGUFULI:NITABADILISHA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Rais Dkt John Magufuli, amezindua flyover ya MFUGALE hii leo katika makutano Tazara jijini Dar Es Salaam.

Rais Magufuli amesema kuwa flyover hiyo imepewa jina hilo kutokana na kazi nyingi alizofanya Injinia Patrick Mfugale, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini(TANROADS),kwa uaminifu mkubwa na kwa kutanguliza utanzania badala ya maslahi yake binafsi.

Ad

Amesema kuwa Atabadilisha jiji la Dar Es Salaam kwa kuendelea kujenga barabara za flyover zitakazo saidia kuondoa adha ya foleni jijini.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Rais  Dkt. John  Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *