video: JWTZ WAFANIKIWA KUIOPOA MV NYERERE LEO!!

  • Kazi ya kuitoa ndani ya ziwa yaendelea kwa mafanikio
  • Kwa asilimia kubwa kivuko chote kinaelea juu ya maji katika ziwa Victoria.
  • Pongezi za thati kwa serikali, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo anayesimamia zoezi zima na Jeshi lote kwa kazi nzito yenye mafanikio makubwa. Tunatoa pole sana kwa Watanzania wote kwa msiba huu mzito.

 

https://vimeo.com/user63874414/review/292118657/3914ba7476

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI SADC, BALOZI WA EU NA BALOZI WA CHINA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Februari, 2020 amekutana na Katibu Mtendaji wa …

Oni moja

  1. Dr. Emmanuel Elibariki Lyimo

    Hongera sana kwa kazi kubwa JWTZ

Leave a Reply to Dr. Emmanuel Elibariki Lyimo Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *