Maktaba ya Kila Siku: September 28, 2018

MKOA WA SONGWE KUZINDUA KAMPENI ZA UPIMAJI AFYA BURE

Mkoa wa Songwe, kwa kushirikiana na  Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto kupitia mpango wa kitaifa wa kudhibiti UKIMWI NACP Kwa kushirikiana na shirika la MHRP – HJRMRI wameandaa huduma za upimaji wa afya zitakazo tolewa bure mkoani humo. Hayo yamesemwa na mkuu wa Mkoa Bri. Jen Nicodemas …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS;Elimu inahitajika kuzuia viumbe wageni/vamizi

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni vema kama nchi kujipanga mapema kuhakikisha kwamba viumbe vamizi hawaendelei kushamiri ili kuepusha Taifa kuingia kwenye gharama kubwa za kukabiliana na janga hilo hapo baadaye. “Pamoja na kwamba viumbe hawa ni janga la kiuchumi, kimazingira na kiafya lakini bado halijashughulikiwa kikamilifu hususani …

Soma zaidi »

video:#MATAGA – JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT MPYA; Wasafiri Kuongezeka Kwa 400% !!

Ni uwanja wa Ndege wa mkubwa wa Kimataifa unaojengwa pembeni mwa uwanja unaotumika sasa (JNIA Terminal 2) Kwa sasa ujenzi umekamilika kwa asilimia 82! Ujenzi wa uwanja huo unatarajia kukamilika mwezi Mei 2019. Ndio uwanja wa ndege wa kisasa na bora zaidi kwa Afrika Mashariki na Kati. Utakuwa na uwezo …

Soma zaidi »

RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA TOKOMEZA MALARIA DUNIANI

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ameshiriki katika mkutano wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani (End Malaria Council) uliofanyika tarehe 26 Septemba, 2018 mjini New York Marekani. Baraza la Kutokomeza Malaria linaundwa na Wajumbe 9 ambao ni watu mashuhuri katika sekta ya umma na sekta binafsi chini uenyekiti wa Bill Gates. …

Soma zaidi »