Muonekano wa Uwanja mpya wa ndege jijini Dar es Salaam unaoendelea kujengwa kwa sasa umefikia katika hatua nzuri ambapo ujenzi umefikia 82% na utakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni 6 kwa mwaka ikiwa ni ongezeko la asilimia 300 zaidi ya uwanja wa sasa.
video:#MATAGA – JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT MPYA; Wasafiri Kuongezeka Kwa 400% !!
Matokeo ChanyA+
September 28, 2018
IKULU, Makamu wa Rais, Matokeo ChanyA+, MAWASILIANO IKULU, Taarifa Vyombo vya Habari, Tanzania MpyA+
1,113 Imeonekana
- Ni uwanja wa Ndege wa mkubwa wa Kimataifa unaojengwa pembeni mwa uwanja unaotumika sasa (JNIA Terminal 2)
- Kwa sasa ujenzi umekamilika kwa asilimia 82!
- Ujenzi wa uwanja huo unatarajia kukamilika mwezi Mei 2019.
- Ndio uwanja wa ndege wa kisasa na bora zaidi kwa Afrika Mashariki na Kati.
- Utakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni 6 kwa mwaka kutoka abiria milioni 1.5 wanaohudumiwa katika kiwanja kilichopo sasa.
#SisiNiTanzaniaMpyA+
Ad
Unaweza kuangalia pia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …