Serikali kupitia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imenunua mashine za Mionzi (digital X-ray) zipatazo kumi zenye thamani ya shilingi bilioni 1.74. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea mashine hizo kwenye Bohari ya Dawa(MSD) jijini Dar. Waziri Ummy amesema kuwa Serikaki inaendelea kutoa kipaumbele katika …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 2, 2018
RAIS MAGUFULI ATEKELEZA AHADI YAKE KWA WAVUVI
WAZIRI ULINZI Dkt. MWINYI ATEMBELEA MIRADI YA SUMA JKT
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi ameendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya SUMAJKT iliyopo mkoani Dar es Salaam. Ametembelea mradi wa uuzaji matrekta na zana za kilimo, kampuni ya ulinzi binafsi na kampuni ya huduma za kumbi za sherehe, mikutano na chakula.
Soma zaidi »VIKUNDI VYA BUSTANI KUTOA FURSA ZAIDI ZA KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Vikundi vya Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini vimejipanga kutoa elimu itakayohamasisha vijana na akina Mama kuchangamkia fursa za kilimo cha umwagiliaji hasa kwa jamii zinazoishi karibu na vyanzo vya maji mengi yanayoweza kutumika kwenye umwagiliaji. Hayo yamesemwa na Gudluck Wambwe ambaye ni Mwenyekiti wa Kikundi cha …
Soma zaidi »WAZIRI JENISTA ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA CHA SUKARI CHA MKULAZI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha sukari cha Mkulazi (Mbigili) Mkoani Morogoro kuona maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho kuelekea katika hatua ya kuanza uzalishaji. Akizungumza katika ziara hiyo, Waziri Mhagama amewataka …
Soma zaidi »NFRA YARIDHISWA NA HALI YA UBORA WA NAFAKA
Zoezi la kununua nafaka ya mahindi kwa ajili ya akiba ya Taifa ya Chakula unaendelea katika maeneo mbalimbali kote nchini ambapo wakulima kwa kiasi kikubwa wameitikia wito umetolewa na Wakala wa Taifa wa hifadhi ya chakula (NFRA) wa kutonunua mahindi yasiyokuwa na ubora. Pamoja na Ubora wa mahindi kuwa changamoto …
Soma zaidi »