Agawa bure kadi BIMA ya AFYA kwa watu 1,000 Baadhi wabahatika kupata zawadi mabalimbali ili kukuza uchumi na mtaji ikiwemo bodaboda, mtaji kwa akina mama na nyinginezo. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awa Mgeni Rasmi na kutoa amri ya kuongeza muda wa buirudaniu kwa siku za wikiendi. Sasa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 5, 2018
WAZIRI MKUU – BENKI KUU SASA ITADHAMINI MIKOPO YA MTAJI YA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO KATIKA MABENKI!
“Leo nimepita eneo nimekuta Bank Kuu.. na wenyewe Benk ya Biashara NBC.. wananiambia, sisi tuko tayari kutoa mikopo kwa wajasiliamali (wa Madini); ili wanunue mitambo, wanunue vifaa vingine vya kusaidia kuchimba.. lakini pia na kuboresha.” – Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa. 30/09/2018, Geita “Benki Kuu wanasema, ni nyie tu (wachimbaji …
Soma zaidi »TUME YA MADINI YATOA LESENI MPYA ZA MADINI 7879
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa kati ya kipindi cha mwezi Mei hadi Septemba mwaka huu, Tume ya Madini, imetoa leseni 7879 ambazo maombi yake yaliidhinishwa kupitia kikao cha Tume kilichofanyika tarehe 25 Septemba, 2018 kujadili taarifa za Kamati za Tume na utendaji kazi katika kipindi …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU: Mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge utakuwa wa gharama nafuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Serikali ya awamu ya tano wa kujenga mradi wa kuzalisha umeme kwenye maporomoko ya mto Rufiji, Stiegler’s Gorge utasaidia sana kudhibiti uharibifu wa mazingira nchini. Akizungumza baada ya kutembelea eneo utakapojengwa mradi huo, Waziri Mkuu amesema umeme utakaotokana na maji, utazalishwa kwa gharama nafuu na …
Soma zaidi »LATE LIVE; WAZIRI JAFO AKITOA MATOKEO YA UKUSANYAJI WA MAPATO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleiman Jafo akitoa matokeo ya ukusanyaji wa mapato hii leo Mkoani Dodoma. fuatilia kupitia matangazo hayo ya moja kwa moja kutoka Dodoma.
Soma zaidi »