Maktaba ya Kila Siku: October 6, 2018

MIKOA YA DODOMA,GEITA NA NJOMBE YAONGOZA MAKUSANYO YA KIMKOA

Waziri Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Selemani Jafo amesema kuwa serikali imekuwa ikifuatilia ukusanyaji wa Mapato katika Halmashauri zote ili kuweza kufanikisha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri zote nchini. Waziri Jafo amesema hayo wakati akitoa taarifa ya makusanyo ya mapato ya Halmashauri zote nchini Mkoani Dodoma. MAKUSANYO …

Soma zaidi »