Maktaba ya Kila Siku: October 12, 2018

UCHAGUZI: Liwale kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya Jumamosi Oktoba 13 mwaka 2018.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi wapiga kura wote waliojiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na wanaoishi kwenye Jimbo la Liwale mkoani Lindi na kata nne za Tanzania Bara, kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya Jumamosi Oktoba 13 mwaka huu ili kuwachagua viongozi wanaowataka wawaongoze kwa kipindi …

Soma zaidi »

video: SIKU WAZIRI MKUU ALIPOTETA NA MFANYABIASHARA MO

• Mhe. Waziri Mkuu alimsisitizia namna serikali inavyojali mchango wa wafanyabiashara • Mohamed Dewji alifika ofisini kwa Mhe. Waziri Mkuu kupeleka taarifa yake ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kujenga Tanzania ya viwanda. • Mhe. Waziri Mkuu alimwambia mfanyabiashara huyo umuhimu wa kodi inayokusanywa kutoka kwa wafanyabiashara na serikali …

Soma zaidi »

FURSA KWA WAFANYABIASHARA; Milango Imefunguliwa Kutangaza Bidhaa za Tanzania Kwenye Soko la China

Jimbo la Guangdong limeahidi kutoa fursa kwa wafanyabiashara wa Tanzania kushiriki katika maonesho mbalimbali ya biashara yanayoandaliwa kwa ajili ya kutangaza bidhaa za Tanzania katika soko la China. Ahadi hiyo imetolewa na kiongozi wa Serikali ya Jimbo hilo Ndugu Zheng Jianlong alipokutana na Balozi wa Tanzania nchini humo, Balozi Mbelwa …

Soma zaidi »