video: SIKU WAZIRI MKUU ALIPOTETA NA MFANYABIASHARA MO

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa
Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

• Mhe. Waziri Mkuu alimsisitizia namna serikali inavyojali mchango wa wafanyabiashara

• Mohamed Dewji alifika ofisini kwa Mhe. Waziri Mkuu kupeleka taarifa yake ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kujenga Tanzania ya viwanda.

Ad

• Mhe. Waziri Mkuu alimwambia mfanyabiashara huyo umuhimu wa kodi inayokusanywa kutoka kwa wafanyabiashara na serikali itarahisisha biashara zao kwa kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji.

• Mhe. Waziri Mkuu alimtaka MO kufikisha ujumbe huo kwa wafanyabiashara na wawekezaji wenzake wote wa Tanzania.

• Mazungumzo hayo yalifanyika mwishoni mwa mwezi Agosti mwaka 2016.

#MATAGA

Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI MKUTANO WA AALCO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.