Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Sekta ya Utalii imeendelea kukua kwa kasi sana Duniani kutokana na maendeleo ya teknolijia na upatikanaji taarifa. Makamu wa Rais aliyasema hayo jana jioni wakati alipokutana na Wadau wa sekta ya utalii katika Mchapalo ulioandaliwa na …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 18, 2018
#MATAGA WIZARA YA MAJI; HADI SASA VITUO 123,888 VYA KUCHOTEA MAJI VIMEJENGWA KATIKA VIJIJI NCHINI!
Maji ni rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Tanzania inakadiriwa kuwa na rasilimali za maji juu ya ardhi zenye kilomita za ujazo 92.27 na chini ya ardhi kilomita za ujazo 38. Utunzaji na uendelezaji wa rasilimali hizo unasimamiwa na miongozo mbalimbali inayotolewa na Serikali ikiwa ni …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AENDELEE KUFUFUA UCHUMI NCHI HII IJITEGEMEE – DKT. MAUA DAFTARI
“(Rais Magufuli) Aendelee kufufua uchumi wa nchi hii tujitegemee. Kama tuna Rasilimali zote tulizonazo, kwanini bajeti yetu iwe ni ya kusaidiwa.. kwenye kikombe kuomba kwa watu; why!? Bajeti yetu itokane na makusanyo yetu! Na tunao uwezo wa kufanya hivyo! Anayetaka ku-invest (kuwekeza) aje a-invest.. kwenye agriculture (kilimo).. lakini na Watanzania …
Soma zaidi »