Imeelezwa kuwa, matumizi ya gesi asilia katika kuzalisha umeme yameokoa fedha za kigeni kiasi cha Dola za Marekani bilioni 10.29 ambazo zingetumika kununua mafuta nje ya nchi kwa ajili ya kuzalisha umeme kutoka mwaka 2004 hadi Septemba 2018. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 23, 2018
JK – JPM Anafanya Kazi Nzuri Sana!
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo yao Mhe. Rais Mstaafu Kikwete amesema wamekutana kwa utaratibu wa kawaida wa kusalimiana na kutakiana heri katika majukumu. “Nimekuja kumsalimia nakumtakia …
Soma zaidi »LIVE: Uzinduzi wa Maonesho ya Viwanda Vidogo Kitaifa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ndiye Mgeni Rasmi Umafanyika Mkoani Simiyu katika viwanjwa vya Nyakabimbi. Fuatilia moja kwa moja katika link hii..
Soma zaidi »UFAFANUZI WA UDAHILI WA WANAFUNZI MWAKA WA KWANZA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM.
Ni ule wa kufutiwa kuchaguliwa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2018/19 zaidi ya 680. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam – Taaluma Prof. Bonaventure Rutinwa atoa ufafanuzi. Fuatilia katika video hii Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako atoa maelekezo kwa Chuo …
Soma zaidi »