LIVE: Ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda Pwani

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mkoa wa Pwani ambapo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda Pwani.

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUMSHUSHA MAMA NDOO KICHWANI – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kilwa, kufanya utafiti wa kina …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.