Kampuni ya IPP imetangaza kuanza ujenzi wa kiwanda cha kwanza cha kutengeneza simu janja maarufu kama smartphone, simu zitakazokuwa na uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa wiki moja na kwa wasiokuwa na umeme wanaweza chaji kwa nguvu ya Jua. Kiwanda hicho kitakachokuwa cha kwanza nchini na Afrika Mashariki, …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 30, 2018
UJENZI WA MGODI WA MFANO LWAMGASA UMEKAMILIKA KWA 80%
Hadi kufikia Septemba, 2018 kazi ya Ujenzi wa Mgodi wa Mfano Lwamgasa na usimikaji wa mitambo ya uchenjuaji imekamilila kwa asilimia 80 Mkoani Geita. Lengo la mgodi huo ni kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo kuhusu uchimbaji sahihi na uchenjuaji bora wa madini ya dhahabu. Mgodi wa Mfano wa Lwamgasa ambao …
Soma zaidi »HATUWEZI KUENDELEA KUAGIZA SUKARI WAKATI TUNA UWEZO WA KUFANIKISHA UZALISHAJI – Dkt. TIZEBA
Serikali imeipa changamoto Bodi ya sukari nchini kutekeleza majukumu yake kwa weledi ikiwa ni pamoja na kusisitiza kuhuisha uzalishaji wa sukari kwa wingi ili kuondokana na uagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi. KaMpuni mbalimbali za uzalishaji wa sukari nchini zimeitikia wito wa Serikali wa kuongeza uzalishaji wa sukari ili …
Soma zaidi »