Maktaba ya Mwezi: October 2018
TUNAYO NGUVU KAZI YA TAIFA YA KUTOSHA KUJENGA UCHUMI IMARA NA MADHUBUTI KWA NCHI YETU
Amtia nguvu Rais Magufuli aendelee kufufua uchumi wa nchi yetu na asikate tamaa. Asisitiza kuwa serikali ya awamu hii inaweza kufanya bajeti ya nchi yetu itokane na makusanyo ya mapato. Ashauri uwekezaji uendelee kuhusishe wazawa. Asisitiza serikali iendelee kuwa imara na kutumia nguvu kazi (vijana) wajenge uchumi madhubuti wa nchi …
Soma zaidi »TANZANIA KUWA NA SHERIA YA MIKOPO MIDOGO MIDOGO
Itahusu mikopo midogo midogo kama VIKOBA na ile ya mtu binafsi kukukopesha kwa siku/wiki/ mwezi au miezi miwili, mitatu kwa riba kubwa. Ili kulinda haki na wajibu ya mkopaji na mkopeshaji. Ni kauli ya Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan. Alisema, “Nchi yetu kwa muda mrefu.. tumekuwa tukienda bila …
Soma zaidi »JESHI LA POLISI LATHIBITHISHA KUPATIKANA KWA MFANYABIASHARA MOHAMED DEWJI AKIWA NA AFYA NJEMA.
Kamanda wa Kanda Maalum athibithisha Asema kwa mujibu wa maelezo ya awali ya MO mwenyewe watekaji walitaka pesa. Taarifa za kina zaidi zitaletwa na Jeshi la Polisi
Soma zaidi »Ni Lazima Mshinde! – Rais Magufuli
Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wachezaji wa timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars) kuongeza juhudi za kupata ushindi katika michuano mbalimbali inayoshiriki ikiwemo ya kufuzu fainali za michuano ya Afrika (AFCON) itakayofanyika mwakani nchini Cameroon. Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo alipokutana na kuzungumza na wachezaji wa …
Soma zaidi »Late Live: IGP AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
Azungumzia hatua muhimu za oparesheni mbalimbali za jeshi la polisi kwa miezi mitano (Machi hadi Oktoba) Oparesheni hiyo imeweza kukamata magari ya wizi 42 na yote yanaletwa Dar es Salaam kwaajili ya kuwarahisishia wananchi kwaajili ya utambuzi katika tarehe itakayotangazwa. Hali kadhalika, silaha mbalimbali 190 na risasi nyingi zimekamatwa katika …
Soma zaidi »UJENZI WA BANDARI KAVU, KWALA VIGWAZA: NAIBU WAZIRI NDITIYE AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI
LIVE:RAIS MAGUFULI AKUTANA NA TAIFA STARS IKULU
Rais Dkt.John Magufuli akutana na timu ya Taifa Stars muda huu Ikulu jijini Dar Es Salaam.
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS – SEKTA YA UTALII INAKUA KWA KASI DUNIANI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Sekta ya Utalii imeendelea kukua kwa kasi sana Duniani kutokana na maendeleo ya teknolijia na upatikanaji taarifa. Makamu wa Rais aliyasema hayo jana jioni wakati alipokutana na Wadau wa sekta ya utalii katika Mchapalo ulioandaliwa na …
Soma zaidi »#MATAGA WIZARA YA MAJI; HADI SASA VITUO 123,888 VYA KUCHOTEA MAJI VIMEJENGWA KATIKA VIJIJI NCHINI!
Maji ni rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Tanzania inakadiriwa kuwa na rasilimali za maji juu ya ardhi zenye kilomita za ujazo 92.27 na chini ya ardhi kilomita za ujazo 38. Utunzaji na uendelezaji wa rasilimali hizo unasimamiwa na miongozo mbalimbali inayotolewa na Serikali ikiwa ni …
Soma zaidi »