MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA MVINYO JIJINI DODOMA

MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo lililofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa jijini Dodoma.
MAKAMU W
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo lililofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa jijini Dodoma.
MAKAMU WA RAIS AKIKABIDHI CHETI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suuhu Hassan akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wake katika sekta ya mvinyo na zao la zabibu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Dane Dane Holdings Mhandisi Danford Semwenda wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma. 
MAKAMU AKITOA ZAWADI YA PICHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suuhu Hassan akimkabidhi zawadi ya picha Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni kwa mchango wa nchi yake katika kusaidia kilimo cha zabibu wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma.
MAKAMU WA RAIS AKIHUTUBIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suuhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma.
MAKAMU WA RAIS AKIPATA MAELEKEZO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suuhu Hassan akipata maelezo ya umuhimu wa zabibu ya Dodoma katika uzalishaji mvinyo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Alkovintages Bw. Archard Kato (kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa tamasha la mvinyo Dodoma
NAIBU WAZ
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu; Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Peter Mavunde akizungumza na Waziri Wakuu wa Staafu Mhe. Peter Mizengo Pinda (katikati) na John Samuel Malecela (kulia) wakati wa halfa ya uzinduzi wa Tamasha la Mvinyo lililofanyika kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma
PICHA YA PAMOJA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali pamoja na wadhamini wa Tamasha la Mvinyo.

Unaweza kuangalia pia

DKT MABULA AHIMIZA KASI YA UPIMAJI ARDHI BAHI

Na Munir Shemweta, BAHINaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.