Maktaba ya Kila Siku: November 4, 2018

RAIS MSATAAFU JK ATUNUKIWA TUZO

Rais Mstaafu Kikwete Atunikiwa Tuzo Kwa Kuwapa Kipaumbele Wanawake katika Uongozi. Rais Mstaafu Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametunukiwa Tuzo ya Uongozi Uliotukuka na Taasisi ya Women Advacement for Economic and Leadership Empowerement Foundation (WAELE), kwa kutambua mchango wake kwa Kuwapa Wanawake Kipaumbele katika Uongozi. Tuzo hiyo ilikabidhiwa na Waziri …

Soma zaidi »

Serikali Itaendelea Kushirikiana na Kanisa katika Kudumisha Amani na Upendo – Rais Magufuli

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki hapa nchini kuadhimisha Jubilei ya miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara. Misa Takatifu ya maadhimisho ya Jubilei hiyo ambayo imefanyika Bagamoyo Mkoani Pwani ambako Ukristo uliingia mwaka 1868 imeongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Nairobi nchini …

Soma zaidi »