Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Dkt. Maria Kamm (kulia) ambaye alikuwa moja ya waliohudhuria ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Mercy Mengi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini.

MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY MENGI

Makamu wa Rais wa Jamhuri
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa mkono wa pole Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Mzee Reginald Mengi mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mercy Mengi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini.
SISI-NI-TANZANIA-MPYA-06
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Dkt. Maria Kamm (kulia) ambaye alikuwa moja ya waliohudhuria ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Mercy Mengi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini.
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Mzee Reginald Mengi akizungumza na mwanae Bw. Abdiel Mengi wakati wa Ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu Mercy Mengi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro ambaye alikuwa moja ya waliohudhuria ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Mercy Mengi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini.

SISI-NI-TANZANIA-MPYA-03

MAMA SAMIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mercy Mengi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini, kushoto kwa Makamu wa Rais ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Anna Mghwira.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *