Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bibi Sifaeli Kundashuma ambaye ni mmoja walioshiriki katika tukio la kuchanganya mchanga wakati wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Makamu wa Rais yupo wilayani Hai kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA Bi.SIFAELI KUNDASHUMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua wodi ya Wanawake katika hospitali ya wilaya ya Hai.
  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya tano imekusudia maendeleo na panapo hitajika maendeleo lazima ukweli usemwe.
  • Akihutubia wakazi wa kijiji cha Matabi wilayani Siha Makamu wa Rais alisema “Wakazi wa Siha hamna budi kubadilika mchague watu wenye itikadi ya maendeleo”
MAMA SAMIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bibi Sifaeli Kundashuma ambaye ni mmoja walioshiriki katika tukio la kuchanganya mchanga wakati wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Makamu wa Rais yupo wilayani Hai kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo.
  • Makamu wa Rais ameendelea na ziara yake katika wilaya ya Siha na Hai mkoani Kilimanjaro ambapo aliweka jiwe la msingi la ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Siha pamoja na mambo mengine alihutubia wakazi wa kijiji cha Matabi.
  • Wananchi wa kijiji hicho walimueleza Makamu wa Rais tatizo la ukosefu wa ardhi ya makazi ambapo watu zaidi ya 11,000 hawana makazi.

MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bibi Sifaeli Kundashuma ambaye ni mmoja walioshiriki katika tukio la kuchanganya mchanga wakati wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Makamu wa Rais yupo wilayani Hai kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo.
  • Kwa upande wake Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amesema matatizo ya ardhi Siha yataisha kabla ya 2020.
  • Akiwa Wilayani Hai Makamu wa Rais aliweka jiwe la msingi la ufunguzi ya wodi ya Wanawake na kutembelea mradi wa shamba la maua ambapo pamoja na kujionea shughuli mbali mbali katika shamba hilo la muwekezaji wa kigeni Makamu wa Rais alizungumza na wafanyakazi wa hapo ambao walimueleza ugumu na changamoto wanazozipata.
MAKAMU WA RAIS SAMIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bibi Sifaeli Kundashuma ambaye ni mmoja walioshiriki katika tukio la kuchanganya mchanga wakati wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Makamu wa Rais yupo wilayani Hai kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo.

  • Mwisho Makamu wa Rais alihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Kwa Sadala ambapo alihimiza wakazi wa Hai kuchagua viongozi bora watakaoendana na kasi ya Serikali ya awamu ya tano.
  • Makamu wa Rais aliambatana na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Wiliam Lukuvi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *