Maktaba ya Kila Siku: November 26, 2018

Dkt.SHEIN AWASILI JIJINI NAIROBI KUHUDHURIA MKUTANO WA BLUE ECONOMY

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amewasili nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa uchumi endelevu wa bahari(Sustaniable Blue Economy Conference) utakaoanza kesho katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta Jijini Nairobi Nchini Kenya.Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo …

Soma zaidi »

VIJANA WA AFRIKA MASHARIKI WATAKIWA KUISHI MAONO YA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Vijana wa Nchi Jumuiya za Afrika Mashariki wametakiwa kumuenzi Hayati Baba wa Taifa la Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kuishi maono yake na falsafa zake katika kujiletea maendeleo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi kwasababu Mwalimu Nyerere aliamini katika ujenzi na ustawi wa Taifa kupitia Vijana na alihamasisha mara zote Vijana …

Soma zaidi »

WANANCHI WANAOISHI KANDO YA MITO WAACHE KUHARIBU VYANZO HIVYO – MHANDISI KALOBELO

Wananchi wanaoishi karibu na vyanzo vya maji wameswa  na serilali  kuvilinda na kuvitunza kwa kuacha kufanya shughuli za kijamii. kwenye maeneo hayo. Hayo yalisemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Emmanuel Kalobelo wakati wa ziara yake katika mtambo wa uzalishaji maji wa Ruvu Juu. Akizungumza …

Soma zaidi »

WAZIRI DKT.KIGWANGALLA AWATUNUKU VYETI WAHITIMU 289 WA CHUO CHA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI-MWEKA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Dkt. Hamisi Kigwangalla amewataka watumishi walio kwenye Wizara yake hiyo kupitia mafunzo ya Jeshi Usu ili kujiimalisha zaidi katika kutokomeza vitendo vya ujangili wa Maliasili zilizopo sehemu mbalimbali hapa nchini. Waziri Dkt. Kigwangalla amesema hayo Novemba 24, 2018 wakati wa kuwatunuku vyeti wahitimu 289 …

Soma zaidi »