Maktaba ya Kila Siku: November 27, 2018

WAZIRI MKUU – MRADI WA MAJI CHATO UKAMILIKE KWA WAKATI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameweka jiwe la msingi mradi wa maji wa Imalabupina/ Ichwankima wilayani Chato ambao una thamani ya sh. bilioni 8.28 na amewaagiza viongozi wa wilaya hiyo wahakikishe unakamilika kwa wakati. Waziri Mkuu amesemaSerikali kupitia Kampeni ya Rais Dkt. John Magufuli ya kumtua mama ndoo kichwani, itahakikisha wananchi …

Soma zaidi »