Maktaba ya Mwezi: November 2018

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA VIJANA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA KUPITIA TONY ELUMELU FOUNDATION(TEF)

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde amewataka Vijana wa Tanzania wenye mawazo ya kibiashara kuchangamkia fursa ya mtaji mbegu(seed capital) kupitia Taasisi ya Tony Elumelu Foundation (TEF) ambayo inatoa fursa ya Mtaji wa biashara kwa Vijana wa nchi 20 za Afrika. Naibu …

Soma zaidi »

MOI YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA WA KUONDOA UVIMBE KWENYE MISHIPA YA DAMU YA UBONGO

Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imefanikiwa kufanya upasuaji kwa mara ya kwanza hapa nchini kuondoa vivimbe katika mishipa ya damu ya ubongo (Aneurysm) ya mgonjwa. Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu Alhaji Dkt. Hamisi Shabani.(pichani) amesema kwamba kabla ya hapo wagonjwa walikuwa wanafanyiwa …

Soma zaidi »

TANZANIA TUWE WAANGALIFU HISTORIA YA KILIMO IMEJAA HADAA NA HUJUMA TELE

Historia ya kilimo duniani inaonyesha jinsi ambavyo mbinu mbalimbali zimetumika kudidimiza kilimo katika nchi zetu Afrika ili tugeuke wategemezi. Hujuma ya kwanza dhidi ya kilimo chetu ilikuwa enzi ya ukoloni, Wakoloni hawakutaka tujitosheleze kwa chakula au tuanzishe viwanda vinavyotumia mazao ya kilimo. Enzi ya ukoloni tulilazimishwa kulima mazao yanayokidhi mahitaji …

Soma zaidi »