Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali Jijini Dar es Salaam.

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU MZEE MWINYI

RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bi Sitti Mwinyi Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali Rais Mstaafu Jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Magufuli wakiomba Dua
Rais Dkt. John Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, Bi. Sitti Mwinyi (Mke wa Mzee Mwinyi) pamoja na Abdallah Mwinyi(Mtoto wa Mzee Mwinyi)alipomtembelea kumjulia hali Jijini Dar es Salaam

 

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI UMMY AWATAKA WAZAZI KUWEKEZA KATIKA AFYA ZA WATOTO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wazazi kuwekeza …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *