Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein katikati akimkabidhi Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma cheti cha uteuzi wa ubalozi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya shingo ya kizazi katika hafla ya Uzinduzi wa mradi huo ukumbi wa sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.

RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza l
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi katika ukumbi wa sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdalla
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdalla akitoa maelezo kuhusiana na Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi katika ukumbi wa sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akitoa hotuba ya makaribisho katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi katika ukumbi wa sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Naijing Drum Tower
Makamu wa Rais wa Naijing Drum Tower Hospital Dkt Yu Chenggong akitoa hmaelezo kuhusu mradi katika uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi katika ukumbi wa sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Ali Mohamed Shein wapili kulia akionesha kitu wakati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Huduma za Uchunguzi Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt,Msafiri Marijani kuhusiana na maradhi ya Shingo ya kizazi yanayowapata kinamama katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya shingo ya kizazi ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS DKT. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein  amewaapisha viongozi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *