Serikali imewaasa wananchi kutoa taarifa za kuwepo wahamiaji wanaoishi maeneo mbalimbali nchini kinyume na sheria za nchi ili raia wema waweze kufanya shughuli za maendeleo kwa amani na salama huku ikiwaasa watumishi wa Idara ya Uhamiaji kuwa waadilifu katika maeneo yao ya kazi. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: December 18, 2018
LIVE: WAZIRI LUKUVI NA MKUU WA MKOA WAKITATUA MIGOGORO YA ARIDHI
BARABARA YA MORO – DOM KUFANYIWA USANIFU ILI KUJENGWA UPYA
Naibu Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa amesema , Serikali inatarajia kufanya usanifu wa barabara ya Morogoro- Dodoma yenye urefu wa kilometa zipatazo 259 katika mwaka wa fedha wa 2018/2019 kwa ajili ya kupata michoro na gharama halisi ili kujengwa upya kwa viwango cha ubora na mahitaji …
Soma zaidi »