Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa barabara ya Morogoro Jijini Dar es Salaam katika sehemu ya kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye urefu wa Kilometa 19.2. Upanuzi huo utahusisha kuongeza njia za magari …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: December 19, 2018
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MRADI WA UPANUZI WA BARABARA YA MOROGORO
Itajengwa kwa njia nane Ujenzi wa awamu ya kwanza utakuwa na km 19.2 kutoka eneo la Kimara hadi Kibaha. Fuatilia kwa kubofya link hii; au bofya link hii;
Soma zaidi »TANZANIA KINARA UTEKELEZAJI WA MASUALA YA VIJANA NCHI ZA SADC
Tanzania imetajwa kuwa kati ya nchi tano ndani ya jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SADC ambazo zinatoa kipaumbele kwa masuala yanayohusu vijana. Hayo yameelezwa katika mkutano wa vijana toka nchi za SADC uliofanyika mjini Windhoek, Namibia kati ya tarehe 13 na 15 Disemba 2018 ambapo mkutano …
Soma zaidi »