Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof Kitila Mkumbo ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kusimamia miradi ya maji kwa umakini mkubwa. Amewataka DAWASA kuhakikisha kufikia 2020 asilimia 85 ya vijijini na asilimia 95 ya mijini inapata maji safi na salama. Mkumbo amesema hayo …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 3, 2019
BALOZI SEIF AZINDUA BARABARA CHAKE CHAKE PEMBA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewakumbusha Wananchi wanaoishi pembezoni mwa Miundombinu ya Barabara Nchini kuwa walinzi kwa kutoa Taarifa kwa vyombo husika dhidi ya wale wanaoharibu kwa makusudi miundombinu hiyo iliyojengwa kwa gharama kubwa. Alisema wapo baadhi ya Watu waliojitoa mshipa wa fahamu kwa …
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZINDUA MRADI WA VITUO VYA UOKOZI NA UZAMIAJI VYA KMKM ZANZIBAR
UJENZI WA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA WASHIKA KASI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt Hamisi Mwinyimvua amewaasa wakazi wa Mkoa wa Dodoma kuchangamkia fursa za kazi za ujenzi zinazoendelea katika Mji wa Serikali uliopo Ihumwa jijini Dodoma. Katibu Mkuu ameyasema hayo leo jijini Dodoma baada ya kukagua kazi ya ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati ambapo …
Soma zaidi »