JENGO Jipya la Kituo cha KMKM la Mradi wa Vituo vya Uokozi na Uzamiaji lilioko katika Bandari ya Mkoani Zanzibar

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZINDUA MRADI WA VITUO VYA UOKOZI NA UZAMIAJI VYA KMKM ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Kituo cha Mradi wa Uokozi na Uzamiaji cha KMKM Zanzibar, wakati wa shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
SHEIN-2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika Boti ya KMKM ya Uokozi baada ya kuizindua akiwa na Mkuu wa KMKM Commodore Hassan Mussa Mzee, (Picha na Ikulu) NO 5665///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Hemed Suleiman wakiondoka katika eneo la Bandari ya Mkoa baada ya Uzinduzi wa Boto ya KMKM ya Uokozi na Uzamiaji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CDR. Hussein Ali Makame. akitowa maelezo ya kimoja ya vifaa vya Uokozi baada yya kukifungua Kituo cha KMKM Cha Mradi wa Uokozi na Uzamiaji katika Bandari ya Mkoani Pemba.
KITUO
Jengo Jipya la Kituo cha KMKM la Mradi wa Vituo vya Uokozi na Uzamiaji lilioko katika Bandari ya Mkoani Zanzibar

Ad

Unaweza kuangalia pia

KAMPUNI YA SIGARA TANZANIA(TCC) KUTOA MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI KWA WATU WENYE ULEMAVU ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba utayari wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *